Swahili-English translation for "-kuu"

 

"-kuu" English translation

Results: 1-20 of 20

-kuu

-kuu (also: chifu, jumbe, mkuu)

kuu

kuu (also: -kubwa, kubwa, mkubwa, mpevu)

Zamani tulikuwa tumezoea kubajeti kutokana na kipato ambacho tulikipata kutokana na mafuta, kwasababu mafuta ndiyo sekta kuu ya mapato...

Before we used to just budget on whatever oil we bring in, because oil is the biggest, most revenue-earning sector in the economy: 70 percent of our revenues come from oil.

kuu (also: -kubwa, bora, kubwa, mkubwa)

Iwapo nikikutaka utaje dini kuu za dunia, utasema nini?

If I asked you to name the great religions of the world, what would you say?

kuu (also: konga, kukuu, mkongwe)

 

Usage examples

Usage examples for "-kuu" in English

These sentences come from external sources and may not be accurate. bab.la is not responsible for their content. Read more here.

Kiwamba cha kihariri kimegawanywa katika sehemu mbili kuu.

for creating pop-up boxes containing text.

Ujenzi wa barabara kuu uliongezwa kwenye matatizo yetu.

A national highway construction boom was added to our problems.

Na sababu moja ni, hili joto kuu linaloshuka likipasha joto Greenland kutoka kaskazini.

And one reason is, this enormous heat sink heats up Greenland from the north.

Moja ya lengo lake kuu ilikuwa ni kuwarahisishia wakazi wa jumuia za matajiri huko katika kaunti ya Westchester kwenda Manhattan.

One of its primary goals was to make it easier for residents of wealthy communities in Westchester County to go to Manhattan.

Huu ni ujengwaji tena wa kanisa kuu la dayosisi ya Notre Dame ambao ulifanywa kwa kwakutumia kompyuta peke yake kutoka kwenye picha zilizopatikana kwenye Flickr.

This is a reconstruction of Notre Dame Cathedral that was done entirely computationally from images scraped from Flickr.

Na wakati kuchoma makaa ya mawe ni moja ya sababu kuu za ongezeko la joto duniani, teknolojia ya kipekee ya makaa safi ya mawe mnayoona hapa inabadilisha kila kitu.

And while burning coal is one of the leading causes of global warming, the remarkable clean coal technology you see here changes everything.

Similar words

kutu · kutulia · kutuliza · kutuma · kutumaini · kutumia · kutunga · kutunza · kutupa · kutwa · kuu · kuua · kuudhika · kuuliza · kuuma · kuume · kuumia · kuunda · kuunganisha · kuuratibu · kuuza

Even more translations in the Korean-English dictionary by bab.la.