Swahili-English translation for "Mwaka"

SW Mwaka English translation

EN
EN

SW Mwaka

Mwaka
Na kwa hakika, jumla ya utoaji wa hewa chafu kwa mwaka huu ni sawa na tulivyokuwa mwaka 1965.
And actually, their cumulative emissions this year are the equivalent to where we were in 1965.
Katika miaka mitatu niliyokuwa Waziri wa Fedha, wamepata wastani wa dola milioni 360 kwa mwaka.
And in the three years that I was Finance Minister, they made an average of 360 million dollars profit per year.

Context sentences for "Mwaka" in English

These sentences come from external sources and may not be accurate. bab.la is not responsible for their content. Read more here.

SwahiliMnamo mwaka 1957, wamishonari watano walijaribu kuwatembelea na wakafanya kosa kubwa.
In 1957, five missionaries attempted contact and made a critical mistake.
SwahiliKwa hiyo nikienda kuangalia hapa, tunaona kuwa Uganda ya leo ni mahali ambapo Korea ya Kusnini ilikuwa mwaka 1960.
So if I go and look here, we can see that Uganda today is where South Korea was 1960.
SwahiliKuliweka hili sawa, mwaka 2005 ulikuwa ni rekodi iliyopita.
To put it in perspective, 2005 was the previous record.
SwahiliNingependa kuwarudisha nyuma mpaka karibu na mwaka 1960.
But I would like to bring you back to about here at 1960.
SwahiliAmbapo – hii ilienda kwenye hazina yetu -- wakati nilipofika mwaka 2003, tulikuwa na dola billion 7 kwenye akiba.
Whereas -- and this went to our reserves -- when I arrived in 2003, we had seven billion dollars in reserves.
SwahiliJumla ya kiasi chote: ifikapo mwaka 2025, itakuwa sawa na tulivyokuwa mwaka 1985 Kama nchi tajiri wasingekuwepo kabisa hapa, tungekuwa bado na tatizo hili.
The total concentrations: by 2025, they will be essentially where we were in 1985.
SwahiliNa mwaka 1962 kulikuwa na kundi kubwa la nchi hapa, ambazo zilikuwa nchi zenye viwanda, na walikuwa na familia ndogo na maisha marefu.
And 1962, there was really a group of countries here that was industrialized countries, and they had small families and long lives.
SwahiliAu, moja ya makabila ya kushangaza niliyowahi kuishi nayo, ni Waorani wa Kaskazini-Mashariki ya Ecuador, ni watu wa ajabu ambao walitembelewa kwa mara ya kwanza mwaka 1958.
Or, one of the most fascinating tribes I ever lived with, the Waorani of northeastern Ecuador, an astonishing people first contacted peacefully in 1958.

Similar words