"to" translation into Swahili

EN

"to" in Swahili

SW
My agency is working closely with Columbia University and others to shine a light on these issues.
Shirika la ngu linafanya kazi kwa karibu sana na chuo kikuu cha Columbia na wengine ili kutoa mwanga kwa mabo haya.
And one of the crucial points is to make them searchable, and then people can use the different design tool to animate it there.
Na jambo la muhimu zaidi ni kuzipangilia ili ziweze kutafutika, na watu waweze kuzitumia vifaa tofauti vya ubunifu kueleleza pale.
Our exchange rate that used to fluctuate all the time is now fairly stable and being managed so that business people have a predictability of prices in the economy.
Thamani ya fedha yetu ilikuwa ikibadilika kila mara kwa sasa ipo angalau imara na kusimamiwa, ili wafanyabiashara wawe na uhakika wa bei katika uchumi.
to (also: out of, from, with, for)
I put fertility rate here: number of children per woman: one, two, three, four, up to about eight children per woman.
Niliweka kiwango cha uzazi hapa: idadi ya watoto kwa mwanamke, moja, mbili, tatu, nne, mpaka watoto nane kwa mwanamke mmoja.
And actually, their cumulative emissions this year are the equivalent to where we were in 1965.
Na kwa hakika, jumla ya utoaji wa hewa chafu kwa mwaka huu ni sawa na tulivyokuwa mwaka 1965.
This drying around the world has lead to a dramatic increase in fires.
Huku kukauka kwa dunia kumepelekea Ongezeko kubwa la mioto.

Context sentences for "to" in Swahili

These sentences come from external sources and may not be accurate. bab.la is not responsible for their content. Read more here.

EnglishIn 1957, five missionaries attempted contact and made a critical mistake.
Mnamo mwaka 1957, wamishonari watano walijaribu kuwatembelea na wakafanya kosa kubwa.
EnglishResidents were often given less than a month's notice before their buildings were razed.
Wakazi wa huko walipewa notisi ya chini ya mwezi mmoja kabla majengo yao hayavunjwa.
EnglishIn New York State, Robert Moses spearheaded an aggressive highway expansion campaign.
Katika jimbo la New York, Robert Moses alichochea kampeni ya upanuaji wa barabara kubwa.
EnglishThey cached all the oil; they got all the money; but health cannot be bought at the supermarket.
Walivuna mafuta yote, walipata pesa zote, lakini afya haiwezi kununuliwa dukani.
EnglishNeither the destruction of the Ninth Ward nor the South Bronx was inevitable.
Si uharibifu wa wadi ya tisa wala Bronx Kusini ulikuwa hauzuiliki.
EnglishWhen a video is age-restricted, a warning screen displays before the video plays.
Wakati mwingine video haziendi kinyume na Miongozo ya Jumuialakini zaweza kuwa hazifai kila mtu.
EnglishLow-income citizens often use emergency room visits as primary care.
Wananchi wanaopata kipato kidogo mara nyingi wanatumia vyumba vya dharura kama msingi.
EnglishBecause nobody's going to help you and support you if you're not managing your own finances well.
Kwasababu hakuna atakayekusaidia na kukuongoza iwapo hudhibiti fedha zako vizuri.
EnglishBut in the middle, we have most the world population, and they have now 24 percent of the income.
Lakini katikati, tuna idadi kubwa ya watu duniani, wenye asilimia 24 ya kipato.
EnglishVideo: Narrator: America is in crisis -- the economy, national security, the climate crisis.
Marekani ipo katika mzozo, uchumi, Usalama wa taifa, mzozo wa tabia nchi.
EnglishIt comes back in the winter, but not as permanent ice, as thin ice -- vulnerable.
Kinarudi tena wakati wa majira ya baridi, lakini sio kama barafu ya kudumu: bali barafu nyembamba.
EnglishCopyright strikes are counted separately from Community Guidelines strikes.
Wakati huo, akaunti za mtumiaji hazitaondolewa hazitapigwa adhabu.
EnglishAnd the richest 20 percent, they take out of that about 74 percent.
Na asilimia 20 ya matajiri wakubwa kabisa, wanachukua karibu asilimia 74.
EnglishAnd we realized that without the proper legislation to make that possible, that wouldn't happen.
Tumegundua kuwa bila kuwa na sera sahihi za kuwezesha, hilo halitawezekana.
EnglishWe brought inflation down from 28 percent to about 11 percent.
Tuliweza kudhibiti mfumuko bei kutoka asilimia 28 mpaka karibu asilimia 11.
EnglishSmall video responses are excluded as they can add noise to our bandwidth calculation.
Majibu madogo ya video hutolewa kwani yanaweza kuongeza kelele kwenye hesabu zetu za kipimo data.
EnglishQuite an overlap between Africa and OECD. And this is Latin America.
Kuna mwingiliano kati ya Afrika na OECD Hii hapa ni Amerika Kusini.
EnglishThe problem for me was not ignorance; it was preconceived ideas.
Tatizo langu halikuwa kutokujua kwao: ilikuwa ni mawazo waliyojijengea.
EnglishThe extra amount that disappeared last fall was equivalent to this much.
Kiasi cha ziada kilichotoweka msimu uliopita wa majira ya kupukutika majani kilikuwa sawa na hiki.
EnglishWell, I first discovered that the textbook was Tintin, mainly.
Naam, kwanza niligundua kuwa kitabu cha kiada kilikuwa Tintin, angalau.