"with" translation into Swahili

EN

"with" in Swahili

EN

with

volume_up
with (also: and, have)
I do have a problem with developments that hyper-exploit politically vulnerable communities for profit.
Nina matatizo na maendeleo ambayo yanadidimiza jumuia zisizo na usemi kwa ajili ya faida.
Repower America with 100 percent clean electricity within 10 years.
Kuipa nguvu mpya Marekani kwa kuwa na umeme safi kwa asilimia 100, ndani ya miaka 10.
I thought I would start with the logo.
Nilidhani ningeanza na nembo.
with (also: out of, from, to, for)
Repower America with 100 percent clean electricity within 10 years.
Kuipa nguvu mpya Marekani kwa kuwa na umeme safi kwa asilimia 100, ndani ya miaka 10.
I do have a problem with developments that hyper-exploit politically vulnerable communities for profit.
Nina matatizo na maendeleo ambayo yanadidimiza jumuia zisizo na usemi kwa ajili ya faida.
My agency is working closely with Columbia University and others to shine a light on these issues.
Shirika la ngu linafanya kazi kwa karibu sana na chuo kikuu cha Columbia na wengine ili kutoa mwanga kwa mabo haya.
Professor Katey Walter from the University of Alaska went out with another team to another shallow lake last winter.
Profesa Katey Walter kutoka Chuo Kikuu cha Alaska alienda pamoja na timu nyingine kwenye ziwa jingine fupi wakati wa masika iliyopita.

Context sentences for "with" in Swahili

These sentences come from external sources and may not be accurate. bab.la is not responsible for their content. Read more here.

EnglishResidents were often given less than a month's notice before their buildings were razed.
Wakazi wa huko walipewa notisi ya chini ya mwezi mmoja kabla majengo yao hayavunjwa.
EnglishIn New York State, Robert Moses spearheaded an aggressive highway expansion campaign.
Katika jimbo la New York, Robert Moses alichochea kampeni ya upanuaji wa barabara kubwa.
EnglishThey cached all the oil; they got all the money; but health cannot be bought at the supermarket.
Walivuna mafuta yote, walipata pesa zote, lakini afya haiwezi kununuliwa dukani.
EnglishNeither the destruction of the Ninth Ward nor the South Bronx was inevitable.
Si uharibifu wa wadi ya tisa wala Bronx Kusini ulikuwa hauzuiliki.
EnglishLow-income citizens often use emergency room visits as primary care.
Wananchi wanaopata kipato kidogo mara nyingi wanatumia vyumba vya dharura kama msingi.
EnglishBut in the middle, we have most the world population, and they have now 24 percent of the income.
Lakini katikati, tuna idadi kubwa ya watu duniani, wenye asilimia 24 ya kipato.
EnglishVideo: Narrator: America is in crisis -- the economy, national security, the climate crisis.
Marekani ipo katika mzozo, uchumi, Usalama wa taifa, mzozo wa tabia nchi.
EnglishIt comes back in the winter, but not as permanent ice, as thin ice -- vulnerable.
Kinarudi tena wakati wa majira ya baridi, lakini sio kama barafu ya kudumu: bali barafu nyembamba.
EnglishCopyright strikes are counted separately from Community Guidelines strikes.
Wakati huo, akaunti za mtumiaji hazitaondolewa hazitapigwa adhabu.
EnglishWe brought inflation down from 28 percent to about 11 percent.
Tuliweza kudhibiti mfumuko bei kutoka asilimia 28 mpaka karibu asilimia 11.
EnglishSmall video responses are excluded as they can add noise to our bandwidth calculation.
Majibu madogo ya video hutolewa kwani yanaweza kuongeza kelele kwenye hesabu zetu za kipimo data.
EnglishThe problem for me was not ignorance; it was preconceived ideas.
Tatizo langu halikuwa kutokujua kwao: ilikuwa ni mawazo waliyojijengea.
EnglishWell, I first discovered that the textbook was Tintin, mainly.
Naam, kwanza niligundua kuwa kitabu cha kiada kilikuwa Tintin, angalau.
EnglishAlready in some shallow lakes in Alaska, methane is actively bubbling up out of the water.
Tayari katika maziwa ya kina kifupi yaliyoko Alaska methini inatoka majini kama mapovu yenye nguvu.
EnglishI watched nearly half of the buildings in my neighborhood burn down.
Niliangalia karibu nusu ya majengo ya mtaani kwetu yakiungua.
EnglishFinally, a solution that's big enough to solve our problems.
Mwisho, suluhisho lililo kubwa vya kutosha kusuluhisha matatizo yetu.
EnglishBut the climate crisis is the rare but all-important global, or strategic, conflict.
Lakini matatizo ya hali ya hewa ni adimu lakini ni miongoni mwa migongano muhimu ya ulimwengu au kimkakati.
EnglishWhether it's the abode of a spirit or a pile of ore is irrelevant.
Ama ni makao ya mizimu au malundo ya madini si jambo muhimu.
English50 percent of our residents live at or below the poverty line.
Asilimia 50 ya wakazi wetu wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
EnglishWhen they kept this under wraps, but soon others got to know.
Walilifanya hili siri, lakini baadae wengine nao walianza kujua.
Other dictionary words