"kama" English translation

SW

"kama" in English

SW kama

kama (also: kwa sababu)
kama
volume_up
as (like)
kama (also: namna, vipi, jinsi, je?)
kama (also: iwapo, ikiwa)
Hakika, kama hauko Nigeria, hauko Afrika.
In fact, if you're not in Nigeria, you're not in Africa.
It's as if the world is flattening off, isn't it?
Kama utakubaliana na mchanganuo wa hali halisi, lakini huoni umuhimu wa wito huu, upo upande gani?
If you agree with the factual analysis, but you don't feel the sense of urgency, where does that leave you?
Tuna frusa katika kilimo, kama nilivyosema.
We have opportunities in agriculture, like I said.
Sasa tutaacha pwani ya Gulf iteketee kwa muongo mmoja au miwili kama ilvyokuwa kwa Bronx Kusini?
Now will we let the Gulf Coast languish for a decade or two like the South Bronx did?
Na ninaweza kuileta mbele, kama hivi.
And I can run it forward, like this.
kama (also: maziwa)
kama (also: finya, kamua, bana)
kama (also: amba, kwamba, nani, nini)
Kama utakubaliana na mchanganuo wa hali halisi, lakini huoni umuhimu wa wito huu, upo upande gani?
If you agree with the factual analysis, but you don't feel the sense of urgency, where does that leave you?
And there are lots of those.
Taarifa zetu ni za ovyoovyo kwa ndani, na kwahiyo haziwezi kupangiliwa zitafutike kama nyingine zinavyoweza kutafutwa.
Our information is so peculiar in detail, so that cannot be searched as others can be searched.

Context sentences for "kama" in English

These sentences come from external sources and may not be accurate. bab.la is not responsible for their content. Read more here.

SwahiliWananchi wanaopata kipato kidogo mara nyingi wanatumia vyumba vya dharura kama msingi.
Low-income citizens often use emergency room visits as primary care.
SwahiliKinarudi tena wakati wa majira ya baridi, lakini sio kama barafu ya kudumu: bali barafu nyembamba.
It comes back in the winter, but not as permanent ice, as thin ice -- vulnerable.
SwahiliTayari katika maziwa ya kina kifupi yaliyoko Alaska methini inatoka majini kama mapovu yenye nguvu.
Already in some shallow lakes in Alaska, methane is actively bubbling up out of the water.
SwahiliKama utakubaliana na mchanganuo wa hali halisi, lakini huoni umuhimu wa wito huu, upo upande gani?
If you agree with the factual analysis, but you don't feel the sense of urgency, where does that leave you?
SwahiliTunaiangalia kama ni uwezekano wa kuongezeka kwa asilimia.
We look upon it as a possibility of percentile increase.
SwahiliNi faraja kubwa sana kupata mapokezi kama haya hapa.
It's very gratifying to have this kind of reception here.
SwahiliLeo, Alams – kama tumuitavyo kwa kifupi – yuko jela.
Today, Alams -- as we call him for short -- is in jail.
SwahiliTaarifa zetu ni za ovyoovyo kwa ndani, na kwahiyo haziwezi kupangiliwa zitafutike kama nyingine zinavyoweza kutafutwa.
Our information is so peculiar in detail, so that cannot be searched as others can be searched.
SwahiliKama unawekeza kwenye udongo wa lami au mafuta, basi una kibindo ambacho kina raslimali za kaboni.
If you are investing in tar sands or shale oil, then you have a portfolio that is crammed with sub-prime carbon assets.
SwahiliHakika, kama hauko Nigeria, hauko Afrika.
In fact, if you're not in Nigeria, you're not in Africa.
SwahiliNi kama vile dunia inakuwa bapa.
It's as if the world is flattening off, isn't it?
SwahiliWanageria wenyewe walianzisha makampuni ya mawasiliano ya simu zisizotumia waya na wengine kama watatu wane hivi wameingia.
Nigerians themselves began to develop some wireless telecommunications companies, and three or four others have come in.
SwahiliNi hakika kama nilivyowaambia.
SwahiliNa zipo nyingi kama hizo.
SwahiliSio kama tunavyofikiria.
SwahiliMmoja kati ya wanawake katika video hii, Adenike Ogunlesi, anashona nguo za watoto kitu ambacho alianza kama kujifurahisha na ikakua na kuwa biashara.
One of the women in this video, Adenike Ogunlesi, making children's clothes -- which she started as a hobby and grew into a business.
Swahilihuru kama ndege
SwahiliKama tutaweza kurudisha dola bilioni 20 ambazo ziko nje, litakuwa jambo zuri sana kwa baadhi ya nchi hizi kuliko misaada yote ikiwekwa pamoja.
Because if we can get the 20 billion dollars sitting out there back, it may be far more for some of these countries than all the aid that is being put together.

Other dictionary words